Tecno DroiPad 10 Pro II imezinduliwa mwezi september, ni tablet ya kwanza ya tecno yenye andriod operating system pia unaweza tumia kama pc.
MUONEKANO
tablet hii imetengenezwa na body ya chuma ambayo inakupa muonekano muruwa unapoitoa kwenye box lake kwa mara ya kwanza
Tecno DroiPad 10 Pro II inakuja na kioo chenye display ya inch 10.1 yenye ips touch screen ikiwa na screen resolution ya 1280 x 800 pixels.
pia inakuja pamoja na keyboard ambayo unachomeka tablet yako na kutumia kama pc
CAMERA NA STORAGE
Tecno DroiPad 10 Pro II inakuja na camera ya nyuma yenye 5 megapixel ikiwa na LED FLASH light, camera ya mbele kwa ajili ya selfies ni 2 megapixel pia ikiwa na LED FLASH light.
storage ya Tecno DroiPad 10 Pro II inakuja na 2GB RAM + LP DDR3 ambayo inasaidia katika kuongeza kasi wakati unafanya mambo mengi kwa wakati moja (multi tasking) nakupunguza matumizi ya betri la tablet yako.
pia ina storage ya 32GB storage ya ndani ya simu huku ikija nasehemu ya kuweka memory kadi yenye uwezo mwisho mpaka 256GB
VITU VYENGINEINAYO KUJA NAYO
- 2G: Yes, (GSM 850/900/1800/1900)MHz
- 3G: Yes (HSDPA 900/1900/2100)MHz – Up To 21Mbps
- 4G: FDD-LTE 3(1800) / 7(2600) / 20(800)MHz Up To 150Mbps.
- Sim Type: Dual (Standby) sim support functionality.
- Weight: n/a
- Colours: White, Black, Sliver & Gold
- Dimension: 244 x 172.5 x 8.5 mm
- Colors: 16,000,000
- Front Facing Camera: 2 MP with flash and wide viewing angle
- Rear/Back Camera: 5 MP Autofocus Camera With LED Flash
- Camera Features: HDR, Autofocus, Geo-tagging, Panorama, 170 degree wide viewing
PERFORMANCE AND CONNECTIVITY:
- OS Version: Android 5.1 Based On Remix OS
- Processor: 1.3GHz Quad Core (MediaTek)
- CPU: 64 Bit Quad-Core Cortex A53 (4 x 1.3GHz)
- GPU: Mali T720 MP2 (Dual-Core)
- Wi-Fi & Hotspot: Yes
- Bluetooth: Yes v4.0
- GPS: Yes
- USB: v2.0
BATTERY
- Battery Capacity- 7000 mAH fast charging Li-ON battery (4.5v)
- Standby Time: 51 Days Standby.
- Video Playback: 14 Hours
- Browsing: Up-To 13 Hours With 4G Activated.







No comments:
Post a Comment