Kwa Mara ya kwanza Nokia 3310 ilizinduliwa mwaka 2000 huku wakiuza simu milioni 126 duniani kote nahuifanya kuwa simu iliouzika zaidi duniani
Nokia wameamua kuturudisha kwenye miaka ya 2000 kipindi ambacho kwa hapa kwetu inchini Nokia 3310 ilikuwa ikiitwa jeneza kutokana na muundo wake ulivyo kuwa.
Simu hiyo imezinduliwa na HMD global , ambao ndio wenye haki ya mauzo ya brand ya Nokia. Lack ni je ni kwa kiasi gani Nokia 3310 ya 2000 inafanana na hii iliozinduliwa sasa , hiki ndio kila kitu unacho takiwa kukijua
TAREHE YA KUZINDULIWA
Imezinduliwa tarehe 26 February katika MOBILE WORLD CONGRESS 2017(MWC 2017) mjini Barcelona , haijajulikana ni lini simu hii itaanza kuuzwa lakini taarifa ni kwamba itaanza kuuzwa robo ya muhula wa pili wa 2017

BEI
Inadaiwa simu hii mpya itapo ingia sokoni itakuwa na gharama ya £49 , mwanzoni ilidaiwa zitauzwa kwa £129
Inadaiwa simu hii mpya itapo ingia sokoni itakuwa na gharama ya £49 , mwanzoni ilidaiwa zitauzwa kwa £129
MUUNDO
Nokia 3310 impya inabakia na muundo wake ule ule wa zamani wa kuwa na keyboard pamoja na kio ambacho hakina uwezo wa screen touch kama smartphone za sasa. Pia maza board ya simu hii mpya ni kama ule wa zamani tofauti ya sasa ni nyembamba na nyepesi kuliko toleo la 2000
Toleo la sasa pia linakuja na rangi ya nyekundu, njano na dark buluu.
DISPLAY
Toleo la nyuma display Yake ilikuwa haioneshi rangi lakini toleo la sasa display Yake ina ukubwa wa inchi 2.4 huku ikiwa na rangi , taarifa ya HMD ni kwamba display imetengenezwa kirahisi isiyokuwa na mwanga Mkali sana mahususi kwa ajili ya kutunza chaji ya betri la simu.

SIFA NYINGINEZO
Nokia 3310 toleo la sasa pia linakuja na betri lenye nguvu ya 1200mAh ambalo lanaweza Toka kwenye simu, linauwezo wa masaa 22 ya maongezi na mwezi mzima wa kuwa na chaji , ndio umesoma sawa simu hiyo inauwezo wa kukaa na chaji mwezi mmoja .

Pia toleo la sasa linakuja na camera yenye megapixel 2.0 , 16MB memori ya ndani ya simu pia kuna sehemu ya kuweka memori kadi yenye uwezo hadi 32 GB , Nokia 3310 toleo la sasa unaweza ukatimia Internet yenye uwezo wa 2G.
Kwa wale wapenzi wa game la nyoka pia nalo lipo na likiwa limeongezewa manjonjo
Pia Nokia wametangaza matoleo mengine ya Nokia ambayo yameanza kuuzwa kwenye soko la China ambayo ni Nokia 6 , 5 na 3 kaa karibu na blogu hii utapata sifa za simu zote hizo.

No comments:
Post a Comment