Thursday, 2 February 2017

FAHAMU SIFA ZA SMARTPHONE MPYA YA ITEL S31


Itel wamekuletea smartphone nyingine katika familia ya S series. Baada ya toleo la kwanza la itel s11 sasa waneleta mwanafamilia mwingine ambaye ni itel s31.
Katika series ya S , itel wamejikita katika kukupa smartphone yenye uwezo wa kukupa picha nzuri pale unapojipiga SELFIE yako.
Itel s31 ni smartphone yenye muundo mzuri na muionekano bora kabisa pia ushikakapo mkononi mwako ina texture nzuri kwenye mfumuko wa simu nyuma. Kona za s31 ni round katika pembe zote nne za simu
Itel s31 inaukubwa wa  inch 5.5 IPS HD DISPLAY na wembamba wa  8.7mm ambao unaipa smartphone hiyo muonekano wa wembamba  unapoishika mkononi na pia ni rahisi kupokonyoka mkononi lakini s31 inakuja pamoja na kava.

Sifa zinginezo za itel s31

IMETANGAZWA: January 2017
UPATIKANAJI: February 2017
RANGI: Black, Rose Gold and Champagne Gold.
SIM KADI: ni mbili (sim kadi ndogo na ya kawaida)
OS(OPERATING SYSTEM): ni Android 6.0 marshmallow
NETWORK: GSM, GPRS, EDGE, HSPA haina LTE(4G)
CPU: Quad-core 1.3 GHz processor
MEMORY: Memory ya ndani(ROM) ni 16GB  RAM ni 1GB
CAMERA: ina 5 megapixel ikiwa na uwezo wa autofocus pamoja na flash light, camera ya selfie pia ni 5 megapixel pia ikiwa na flash light kwa muonekano mzuri sehemu yenye mwanga hafifu
BETRI: lina ujazo 2400 mAh li-lon ambalo unaweza litoa.

No comments:

Post a Comment